Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,713
- 3,559
Inabidi u-update taarifa za kuhusu huyu mtu, baada ya kuwa uhamishoni kwa miaka 3 Katumbi amesharudi Congo baada ya uchaguzi kuisha na kupata Raisi mpya, kwa stage waliyofika Mazembe sidhani kama bado wanategemea fedha kutoka mfukoni mwake.Mose katumbi anaishi ufaransa hakai tena DRC yani yupo mguu ndani mguu nje kwenye kuifadhili
Source:https://www.aljazeera.com/news/2019...er-katumbi-returns-exile-190520105702419.html