Nimeona jana kikao cha wazee wa Simba kikiongozwa na Wanasiasa Mangungu (ambaye ni pia ndiye Mwenyekiti wa Simba kwa sasa) na wafuasi wake .i.e Dalali, Asha baraka n.k.
Kikao kama kikao cha wazee wa Club sio kibaya kujadili maendeleo ya Club bali tatizo ni lengo la kikao chenyewe eti kujadili kwa nini timu Imefungwa mechi mbili na kutoka sare mechi moja (mfululizo) na kwamba wao wanataka kujadili hili "swala na kulipatia dawa".
Hawa wazee wanalao jambo, wanasimba tuwe makini tunarudishwa kuleeeee tulipotoka.
Tusikubali hizi siasa