Ndo maana Akauliza Transformation Imeishia wapi? Coz anaona ni ufala tu unafanyika na Akaongeza PESA SIMBA HAINA THAMANI. chenye thamani ni uchawi.Muddy kamaindi sababu wametumia maji ya Afya na chapati za kaduguda.
Mkuu na kuna mzee alikuja na mwamvuli wa GSM..[emoji3]Muddy kamaindi sababu wametumia maji ya Afya na chapati za kaduguda.
Kweli kabisa mkuu, ukiunganisha dots za tweets za Mo na ukaja uka relate na hicho kikao cha wazee ndio unakuja kupata maana kua Muddy kamaindi..Ndo maana Akauliza Transformation Imeishia wapi? Coz anaona ni ufala tu unafanyika na Akaongeza PESA SIMBA HAINA THAMANI. chenye thamani ni uchawi.
AiseeeeMuddy kamaindi sababu wametumia maji ya Afya na chapati za kaduguda.
Azam ipoBadala ya kulaumu hao wazee tungeanzisha vilabu vingine kuwaonyesha namna soka la kisasa linavyoendeshwa
Kikao kinawahusu wazee wa simba wakiongozwa na Hassan Dalali, lakini kichwa cha habari kinawajumuisha mpaka wazee wa Yanga! 🤔Nimeona jana kikao cha wazee wa Simba kikiongozwa na Wanasiasa Mangungu (ambaye ni pia ndiye Mwenyekiti wa Simba kwa sasa) na wafuasi wake .i.e Dalali, Asha baraka n.k.
Kikao kama kikao cha wazee wa Club sio kibaya kujadili maendeleo ya Club bali tatizo ni lengo la kikao chenyewe eti kujadili kwa nini timu Imefungwa mechi mbili na kutoka sare mechi moja (mfululizo) na kwamba wao wanataka kujadili hili "swala na kulipatia dawa".
Hawa wazee wanalao jambo, wanasimba tuwe makini tunarudishwa kuleeeee tulipotoka.
Tusikubali hizi siasa
Hapana mkuu , aliyehudhuria ni Babu Saudo Ntimbazonkiza na rafiki yake wa karibu BangalaOnyango alikua miongoni mwa hao wazee?
Soka la kichawi limejikita MSIMBAZINimeona jana kikao cha wazee wa Simba kikiongozwa na Wanasiasa Mangungu (ambaye ni pia ndiye Mwenyekiti wa Simba kwa sasa) na wafuasi wake .i.e Dalali, Asha baraka n.k.
Kikao kama kikao cha wazee wa Club sio kibaya kujadili maendeleo ya Club bali tatizo ni lengo la kikao chenyewe eti kujadili kwa nini timu Imefungwa mechi mbili na kutoka sare mechi moja (mfululizo) na kwamba wao wanataka kujadili hili "swala na kulipatia dawa".
Hawa wazee wanalao jambo, wanasimba tuwe makini tunarudishwa kuleeeee tulipotoka.
Tusikubali hizi siasa
Saido ni mzee wa Simba?Hapana mkuu , aliyehudhuria ni Babu Saudo Ntimbazonkiza na rafiki yake wa karibu Bangala