Ukistaajabu ya single maza unakutana na ya watoto wa single maza

Ukistaajabu ya single maza unakutana na ya watoto wa single maza

Cruel conman

Member
Joined
Jan 29, 2024
Posts
34
Reaction score
118
Ukistaajabu ya single maza kama yalivyo kwenye uzi wa Record Man
Unaosema: Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu...


hawa watoto wa kike wanabalaa zito sana ukikutananao kwenye mahusiano ndio utajua umuhimu wa baba kwenye familia ni nini maana ni viburi sana, hawarekebishiki, hawajui kitu kinachoitwa taking responsibility for their action, heshima ni ziro kabisa, wanafanya maamuzi yakijinga sana then ukiwaambia wanaona unawaonea

Sometimes unajaribu kuelewa kwamba hawa hawajawahi kukaa under rule ya mwanaume hawajawahi kuexperience sheria za baba na kuamua kumshape lakini wapi

Kibaya zaidi ukiangalia kwenye jamii single maza wanavyoongezeka kwa kasi kubwa sana unabaki unasikitika maana product zitakazotoka hapo ni bomu
 
Ulipaswa kuona kaburi na video ya mazishini
 
Back
Top Bottom