Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Kila binadamu anapopata Nafasi ya kutulia hujiwa angalau na fikra na mawazo fulani yenye mantiki, labda ya kuwaza na kuwazua mafanikio aliyoyafikia na changamoto alizokutana nazo!
Nakaa nafikiria mafaniko yangu niliyoyapata, Nagundua mengi kama sio yote niliyapata nikiwa "Single", Naumia sana kuugundua huu ukweli.. wazo hili nililipata baada ya kupitia tafiti moja inayosema kuwa katika mahusiano/Mapenzi hupunguza mno ufanisi wa muhusika.. Naona hii imeapply kwangu na nadhani hata kwa vijana wengine!
WanaJamii naamini ukiwa katika penzi zito unaweza usitambue hili ila ukweli mchungu ni kwamba mahusiano/mapenzi yanapunguza ufanisi wa watu wengi ndio maana wengine baada ya BreakUp hujilaumu na kusema kwanini sikutaka hii BreakUp mapema!
Kama hujafikiria kuingia katika Ndoa sikuhimizi hata kidogo kuingia katika mahusiano, fanya maisha yako kwanza, kama ni shule fanya shule kwanza.. Hutojutia!
Note: Sihamasishi BreakUp!
2018, september 25
Architectus!