Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Na ana overconfidence kuliko hata mwenye university degreetena mwenye matako makubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ana overconfidence kuliko hata mwenye university degreetena mwenye matako makubwa
Sasa huyo demu si alikuwa wa kula nae starehe tu? Kama ndivyo kweli lkn kama ulichagua mke bora kabisa lazima usonge mbele.......tatizo lenu mnaoa wanawake ambao hata kupika hawataki mara wabakwambia tufuate chips au twende tukale hotel,bullshit!!Hii ni kweli kabisa, kuna kipindi nilikuwa napoteza hela zangu kwenye mahusiano kuanzia kumlisha kutoka nae out kumvisha na Huduma nyingine huwa nampa pale tu anapohitaji baada ya break up nawaza hivi zile treatments nilizokuwa nampa yule mwanamke km ile hela ningekuwa naizungusha kwenye biashara zangu ningekuwa wapi?....
Ila sasa hivi kila shilling yangu ni muhimu naona mafanikio yake
Hii ndio shida kubwa ya hawa vijana hawawezi kutofauti maisha ya uchumba/mapenzi na ndoa/kuoaNa ndio maana ukianza mahusiano rasmi ya kuelekea kwenye ndoa, Make sure ushamalizana na shida za mahusiano kama ku fall in love na mengineyo, so funga ndoa kwa minajili ya familia tuu na sio ma love loveee, otherwise utapata shida sana, unaingia kwenye ndoa hujatafuna na wala haujawahi kuwa na zaidi ya mahusiano hata zaidi ya ke 10, lazima upate shida sana.
Kuna ukweli mkubwa ukikosea ukaoa dubwana utafeli tu tena unaweza kuwa maskini wa kufa vivyo hivyo ukipatia ukaoa mke mzuri mafanikio yanakuja vizuri sana tuSikubahatika kwenda shule zaid ya la tano tu,siku moja nikajisikia kwenda kwenye semina tu hiz za wanaojiita motivation speakers,akawa anaongea madin sana,baadae akasema ukiona mwanaume amefanikiwa jua mwanamke yupo nyuma yake,,wakapiga makofi,mm nikaropoka tu na ukiona mwanaume ameanguka maisha jua kuna mwanamke nyuma yake,darasa zima likanigeukia,mwalim akaniuliza kwa nn? Nikamjib tu kwa nn mwanaume akifanikiwa yupo mwanamke lakin akifeli mwanamke mnamtoa?? Sikupata jib mpk leo na sijawah hudhuria tena makongamano ya kikuda
Uliuliza sana swali la MsingiSikubahatika kwenda shule zaid ya la tano tu,siku moja nikajisikia kwenda kwenye semina tu hiz za wanaojiita motivation speakers,akawa anaongea madin sana,baadae akasema ukiona mwanaume amefanikiwa jua mwanamke yupo nyuma yake,,wakapiga makofi,mm nikaropoka tu na ukiona mwanaume ameanguka maisha jua kuna mwanamke nyuma yake,darasa zima likanigeukia,mwalim akaniuliza kwa nn? Nikamjib tu kwa nn mwanaume akifanikiwa yupo mwanamke lakin akifeli mwanamke mnamtoa?? Sikupata jib mpk leo na sijawah hudhuria tena makongamano ya kikuda
soma kwa makini mkuu utanielewaTatizo lako mleta mada ulikosea kupata demu mwenye maono ya maendeleo ulimpata demu mpenda starehe na kuruka ndebe,mimi binafsi nilipopata mwenza mwenye akili vizuri mambo yangu ndo yalitulia na nikaanza kufanya maendeleo
Usisingizie kukosea kwako kuoa na kurudi nyuma kimaendeleo.......tena ukimpata mke mzuri kabisa mwenye kuwaza maendeleo fasta unafika mbali,mi namkubali sana wife kanisaidia tumefika mbali!!
hapana ni vijitabia vyetuu, hivii,huwa tunawashwa wenyewe ,tunakuwa na viconfidence vya kijinga hivi!!hatari sana wallahi"...,wanawake huwaga wananusa harufu ya pesa
Mkuu Ukiachilia mbali kwa baadhi ya vijana wenzetu wakiume kuwa na misifa pindi wakiwa wako vizuri" lakini niamini mimi ukiwa vizuri kiuchumi wanawake wanakuwinda kama faru awindwavyo na majangili serengetihapana ni vijitabia vyetuu, hivii,huwa tunawashwa wenyewe ,tunakuwa na viconfidence vya kijinga hivi!!
hilo lipo wazi mkuu,Mkuu Ukiachilia mbali kwa baadhi ya vijana wenzetu wakiume kuwa na misifa pindi wakiwa wako vizuri" lakini niamini mimi ukiwa vizuri kiuchumi wanawake wanakuwinda kama faru awindwavyo na majangili serengeti
Sasa hv ndio natafuta mwanamke anaejua maisha na kushirikiana nae kujenga familiaSasa huyo demu si alikuwa wa kula nae starehe tu? Kama ndivyo kweli lkn kama ulichagua mke bora kabisa lazima usonge mbele.......tatizo lenu mnaoa wanawake ambao hata kupika hawataki mara wabakwambia tufuate chips au twende tukale hotel,bullshit!!
Fanya hivyo tafuta mke mwenye akili awe amesoma au hajasoma sana......kikubwa awe na akili yenye utambuzi,kujiongeza na common sense utafurahia maishaSasa hv ndio natafuta mwanamke anaejua maisha na kushirikiana nae kujenga familia