Ukitafakari kwa makini Utagundua Mambo ya Msingi uliyafanya Ukiwa "Single"

Inaonekana mafanikio yako ulipitia kwa mganga ambae masharti yalikuwa kwamba lazima uwe singo..
 
Hii ni kweli kabisa, kuna kipindi nilikuwa napoteza hela zangu kwenye mahusiano kuanzia kumlisha kutoka nae out kumvisha na Huduma nyingine huwa nampa pale tu anapohitaji baada ya break up nawaza hivi zile treatments nilizokuwa nampa yule mwanamke km ile hela ningekuwa naizungusha kwenye biashara zangu ningekuwa wapi?....
Ila sasa hivi kila shilling yangu ni muhimu naona mafanikio yake
 
Na ndio maana ukianza mahusiano rasmi ya kuelekea kwenye ndoa, Make sure ushamalizana na shida za mahusiano kama ku fall in love na mengineyo, so funga ndoa kwa minajili ya familia tuu na sio ma love loveee, otherwise utapata shida sana, unaingia kwenye ndoa hujatafuna na wala haujawahi kuwa na zaidi ya mahusiano hata zaidi ya ke 10, lazima upate shida sana.
 
Ha
umemaliza kabisa, kila nikipiga demu chini naona kabisa nakuwa milionea soon.. ghafla mwanamke mwenye matako makubwa analetwa katika maisha yangu.. Napoteana tena!
tatari sana mkuu.... inaonekana shetani kashaua udhaifu wako chura kubwa tu mzee.... anakuskilizia tu upate mkwanja akusogezee chura kubwa.... ila tukomae wazee sio siri wanawake wanatukwamisha sana
 
Watu wengi wanakoseaga hapa, wanachanganya ndoa na maisha ya mapenzi....
Ili uwe na maendeleo usiweke mapenzi kwenye ndoa mkeo mtengenezee mifumo ya kujitafutia na kila mmoja a play part yake
 
Hongera sana Mkuu kwa kupata mwangaza
 
Asante sana Mkuu, vijana wengi wanatakiwa walielewe hili somo
 
Ha

tatari sana mkuu.... inaonekana shetani kashaua udhaifu wako chura kubwa tu mzee.... anakuskilizia tu upate mkwanja akusogezee chura kubwa.... ila tukomae wazee sio siri wanawake wanatukwamisha sana
Kabisa Mkuu.. sema siku hizi nishastuka hivi vitoto navikataa kinoma!
 
Watu wengi wanakoseaga hapa, wanachanganya ndoa na maisha ya mapenzi....
Ili uwe na maendeleo usiweke mapenzi kwenye ndoa mkeo mtengenezee mifumo ya kujitafutia na kila mmoja a play part yake
Safii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…