Ukitafakari kwa makini Utagundua Mambo ya Msingi uliyafanya Ukiwa "Single"

Naona huu uzi upo kiumeni zaidi

tutafika tu wakuu [emoji41]
 
Sikubahatika kwenda shule zaid ya la tano tu,siku moja nikajisikia kwenda kwenye semina tu hiz za wanaojiita motivation speakers,akawa anaongea madin sana,baadae akasema ukiona mwanaume amefanikiwa jua mwanamke yupo nyuma yake,,wakapiga makofi,mm nikaropoka tu na ukiona mwanaume ameanguka maisha jua kuna mwanamke nyuma yake,darasa zima likanigeukia,mwalim akaniuliza kwa nn? Nikamjib tu kwa nn mwanaume akifanikiwa yupo mwanamke lakin akifeli mwanamke mnamtoa?? Sikupata jib mpk leo na sijawah hudhuria tena makongamano ya kikuda
 
Tatizo lako mleta mada ulikosea kupata demu mwenye maono ya maendeleo ulimpata demu mpenda starehe na kuruka ndebe,mimi binafsi nilipopata mwenza mwenye akili vizuri mambo yangu ndo yalitulia na nikaanza kufanya maendeleo

Usisingizie kukosea kwako kuoa na kurudi nyuma kimaendeleo.......tena ukimpata mke mzuri kabisa mwenye kuwaza maendeleo fasta unafika mbali,mi namkubali sana wife kanisaidia tumefika mbali!!
 
Sasa huyo demu si alikuwa wa kula nae starehe tu? Kama ndivyo kweli lkn kama ulichagua mke bora kabisa lazima usonge mbele.......tatizo lenu mnaoa wanawake ambao hata kupika hawataki mara wabakwambia tufuate chips au twende tukale hotel,bullshit!!
 
Hii ndio shida kubwa ya hawa vijana hawawezi kutofauti maisha ya uchumba/mapenzi na ndoa/kuoa
 
Kuna ukweli mkubwa ukikosea ukaoa dubwana utafeli tu tena unaweza kuwa maskini wa kufa vivyo hivyo ukipatia ukaoa mke mzuri mafanikio yanakuja vizuri sana tu
 
Uliuliza sana swali la Msingi
 
soma kwa makini mkuu utanielewa
 
hapana ni vijitabia vyetuu, hivii,huwa tunawashwa wenyewe ,tunakuwa na viconfidence vya kijinga hivi!!
Mkuu Ukiachilia mbali kwa baadhi ya vijana wenzetu wakiume kuwa na misifa pindi wakiwa wako vizuri" lakini niamini mimi ukiwa vizuri kiuchumi wanawake wanakuwinda kama faru awindwavyo na majangili serengeti
 
hilo lipo wazi mkuu,
 
Sasa huyo demu si alikuwa wa kula nae starehe tu? Kama ndivyo kweli lkn kama ulichagua mke bora kabisa lazima usonge mbele.......tatizo lenu mnaoa wanawake ambao hata kupika hawataki mara wabakwambia tufuate chips au twende tukale hotel,bullshit!!
Sasa hv ndio natafuta mwanamke anaejua maisha na kushirikiana nae kujenga familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…