Ukitafuta logic kwa Mke, utayumba!

Ukitafuta logic kwa Mke, utayumba!

Kwenye mahusiano yeyote hakuna logic unapokua unataka kuweka sawa mambo yako na mwanamke.
Mwanamke anaweza akafanyq jambo halafu anakushangaa kwa nn umemind. Ila fanya wewe the same thing kwake utajuta
 
Back
Top Bottom