Ukitahiriwa umri wa miaka 18, inachukua muda gani kupona?

Ubaya wa kutahiriwa ukubwani ni kuwa mwanamke akiona dudu tu anajua limeenda jando uzeeni
 
Hakuna tatizo lolote, kutahiriwa ni sawa na kidonda kingine chochote.

Zingatia usafi muda wa kupona ni takribani wiki 3 lkn haikuzuii kufanya shughuli zako ndogondogo.

Kama ni MTU wa ngarambe baada ya wiki moja unaweza piga mzigo kama kawaida.

Mechi Kali utaangalia we mwenyewe kidonda kipo vipi baada ya wiki 3 au kumuuliza Nesi wakati wa dressing.

Ila sio issue ki viile usione unafanyiwa dhihaka humu foleni ni ndefu ya wenye mkono wa sweta.
 
Mungu akujaalie umejibu vizuri
 
Hahahaa ahsantee kakaa
 
Ahsantee saaana dadaa Husnaa
 
Wiki 2 tu utakuewa umepona, kuna jamaa kazini kwetu hapa alitahiriwa na akapona ndani ya wiki 2.
Ametahiriwa akiwa na miaka 39. wewe wa 18 bado kinda.
Hahaha poaa embu niambiee ukiendaa Hospitali wanafata Procedure gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…