Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Usitolewe bana mwanaume mwenye govi ni mtamu balaa
Unapiga BJ magovi?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitolewe bana mwanaume mwenye govi ni mtamu balaa
Ukitahiriwa katika umri huo jiepushe na vitu vitakavyo kufanya udinde ndani ya mwezi utapona.lakini ukiwa macho juu juu huponi .......
Haya wahi kaondoe hilo govinda
Huo mfano si uachane nao tu? Kujiumiza na maswali meengi vile afu ni kwa mfano tu
DuuuUsitolewe bana mwanaume mwenye govi ni mtamu balaa
Yaani yamemkuta kaamua ajisalimishe mwenyewe..Hawa Ghasia amekugusa mkuu.
Mungu akujaalie umejibu vizuriHakuna tatizo lolote, kutahiriwa ni sawa na kidonda kingine chochote.
Zingatia usafi muda wa kupona ni takribani wiki 3 lkn haikuzuii kufanya shughuli zako ndogondogo.
Kama ni MTU wa ngarambe baada ya wiki moja unaweza piga mzigo kama kawaida.
Mechi Kali utaangalia we mwenyewe kidonda kipo vipi baada ya wiki 3 au kumuuliza Nesi wakati wa dressing.
Ila sio issue ki viile usione unafanyiwa dhihaka humu foleni ni ndefu ya wenye mkono wa sweta.
Hahahaa ahsantee kakaaHakuna tatizo lolote, kutahiriwa ni sawa na kidonda kingine chochote.
Zingatia usafi muda wa kupona ni takribani wiki 3 lkn haikuzuii kufanya shughuli zako ndogondogo.
Kama ni MTU wa ngarambe baada ya wiki moja unaweza piga mzigo kama kawaida.
Mechi Kali utaangalia we mwenyewe kidonda kipo vipi baada ya wiki 3 au kumuuliza Nesi wakati wa dressing.
Ila sio issue ki viile usione unafanyiwa dhihaka humu foleni ni ndefu ya wenye mkono wa sweta.
Ahsantee saaana dadaa HusnaaAwe yy au asiwe yeye ilipaswa tu ashauriwe km alivyoomba na si kuanza kumshutumu moja kwa moja kuwa ni yy
Na hata km ni yeye mi naamini sio kosa lake coz hayo mambo ilipaswa wazazi wake ndio wamfanyie
Hata wewe ni wazee wako ndio walikufanyia
Sasa itoshe kumshauri tu basi
We nenda tu ukifika waambie una govi unataka kulitoa, watakupa maelekezoHahaha poaa embu niambiee ukiendaa Hospitali wanafata Procedure gani
Mtoa mada kasema kwa mfano!! Ye aende ata leo miaka 18 si limeshakuwa refu ka soksi ya samataUnapenda watu wasikatwe?!
Karibia pm nikufafanulie kiundaniHahahaaa kiajee