Ukitahiriwa umri wa miaka 18, inachukua muda gani kupona?

Mi nasikia ukitahiriwa ukubwani kunawacwac wa kutokwa dam nyingi na hupelekea kupoteza maisha, na ndio maana tendon hili hufanyika udogoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Dhuuuuu!!!!! Jamaa yan
Bado n mkono wa sweta

Triple A
 
Mimi nimetahiriwa nikiwa na 23, wala hakuna aibu ya hiiivo, kama wanavyoiweka hao wanaume wa dar. Na ilikua ni maamuz binafsi wala co msukumo wala nn. Mwezi mmoja nikawa nimerudi kwenye hali yangu.
Nenda hospital unayopenda ufanyiwe na waambue tu unataka huduma ya kutahiriwa, kila kitu kitakua sawa.
 
Naombaa nipe maelezo ya Kutoshaa mkuu
 
We ni murysia,. Murra! ,hakuna chakula zaidi ya dona na nyama ya kuchoma, .imemwagiwa kichurii kiingi,
 
Ni utoto kutahiriwa mtoto
Raha ukubwani
 
Kutahiriwa ukubwani mateso yake sio madogo alafu pia unaweza ukachelewa kupona. Maana kila ukidinda,maumivu haya hapa..pia unakuwa unajitonesha.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu lakn kutahiriwa ukubwani pole sana kwa kuchelewa kukatwa
Nenda tahiriwa ili heshima yako iongezeke mara dufu kwa mkeo wala usiulize ilikuwaje itakuwaje itakavyokuwa ni baada ya wewe kutoa uchafu na utajua ni uchafu baada ya kuutoa mm ninatanguliza kukupongeza hongera sana kijana kujitambua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeni qoute kwan mm nimekwambia sijatahiriwa au ndyo kuwashwa washwa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…