stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Punguza makali ya lugha mkuu,aseme ana...!!!We nenda tu ukifika waambie una govi unataka kulitoa, watakupa maelekezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza makali ya lugha mkuu,aseme ana...!!!We nenda tu ukifika waambie una govi unataka kulitoa, watakupa maelekezo
Mtoa mada kasema kwa mfano!! Ye aende ata leo miaka 18 si limeshakuwa refu ka soksi ya samata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtoa mada kasema kwa mfano!! Ye aende ata leo miaka 18 si limeshakuwa refu ka soksi ya samata
weka hapa kwa faida ya wengine pia.Karibia pm nikufafanulie kiundani
HahahahahhaHahahahaha
Ww lazima una experience na mikono ya sweta
Madem naona wanasemagaMi nasikia ukitahiriwa ukubwani kunawacwac wa kutokwa dam nyingi na hupelekea kupoteza maisha, na ndio maana tendon hili hufanyika udogoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wengi sana mda wa kwichi kwichi hua wanapenda gizaweka hapa kwa faida ya wengine pia.
Si tumeambiwa kuwa wapo wengi humu
Naombaa nipe maelezo ya Kutoshaa mkuuMimi nimetahiriwa nikiwa na 23, wala hakuna aibu ya hiiivo, kama wanavyoiweka hao wanaume wa dar. Na ilikua ni maamuz binafsi wala co msukumo wala nn. Mwezi mmoja nikawa nimerudi kwenye hali yangu.
Nenda hospital unayopenda ufanyiwe na waambue tu unataka huduma ya kutahiriwa, kila kitu kitakua sawa.
Haa kumbeWapo wengi sana mda wa kwichi kwichi hua wanapenda giza
Nenda tahiriwa ili heshima yako iongezeke mara dufu kwa mkeo wala usiulize ilikuwaje itakuwaje itakavyokuwa ni baada ya wewe kutoa uchafu na utajua ni uchafu baada ya kuutoa mm ninatanguliza kukupongeza hongera sana kijana kujitambua.Aibu lakn kutahiriwa ukubwani pole sana kwa kuchelewa kukatwa
Umeni qoute kwan mm nimekwambia sijatahiriwa au ndyo kuwashwa washwa hukoNenda tahiriwa ili heshima yako iongezeke mara dufu kwa mkeo wala usiulize ilikuwaje itakuwaje itakavyokuwa ni baada ya wewe kutoa uchafu na utajua ni uchafu baada ya kuutoa mm ninatanguliza kukupongeza hongera sana kijana kujitambua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upotoshaji..inamaana udogoni hakuna damu.?Mi nasikia ukitahiriwa ukubwani kunawacwac wa kutokwa dam nyingi na hupelekea kupoteza maisha, na ndio maana tendon hili hufanyika udogoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vitisho hv hataenda, atabaki na mkono wakeKutahiriwa ukubwani mateso yake sio madogo alafu pia unaweza ukachelewa kupona. Maana kila ukidinda,maumivu haya hapa..pia unakuwa unajitonesha.
Sent using Jamii Forums mobile app