jakichanii
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 216
- 218
Kwani anaionyesha mtaaniMtaani atatengwa na wanaume.
Nitamchukua
Mimi nimetahiriwa nikiwa na 23, wala hakuna aibu ya hiiivo, kama wanavyoiweka hao wanaume wa dar. Na ilikua ni maamuz binafsi wala co msukumo wala nn. Mwezi mmoja nikawa nimerudi kwenye hali yangu.
Nenda hospital unayopenda ufanyiwe na waambue tu unataka huduma ya kutahiriwa, kila kitu kitakua sawa.
Nenda fasta kalitoe. Mi nililitoa nikiwa nakaribia 29, na nikafanya mapenzi siku ya 13 baadae. Isikutishe lakini jiandae kisaikolojia, zile siku tatu za mwanzo utaskilizia. Usiku lazima udindishe, na hapo nyuzi zinajikaza sawasawa. Ila ukiamka ukapigwa upepo basi linalala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aibu yoyote ni mitazamo potofu tu kuhisi mtu akiwa hajatahiriwa ni dosari.Aibu lakn kutahiriwa ukubwani pole sana kwa kuchelewa kukatwa
Maelezo kama yapi mkuu kua huru. Hili c jambo la ajabu.Naombaa nipe maelezo ya Kutoshaa mkuu
toaa mawazo mkuu kutahiriwa ni kutahiriwa tu haijalishi umri gani