Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Habari za majukumu wakubwa.
Nilikutana na mdada mmoja tangia mwaka 2015 lakini kipindi hiko alikua na mahusiano na mfanya kazi mwenzangu.
Sasa baada ya kuachana na huyo bwanake ilinibidi nianze kumnyapia nyapia lakini hakuna nilichoambulia.
Nilimfatilia sana lakini sikubahatika kumpata maana alihisi na mimi nitamfanyia kama huyo wa walie achana.
Basi nikaamua kumwacha na hamsini zake.
Sasa miaka imepita, miezi mitatu iliyopita akaniomba urafiki fb wakati huo nilishamsahau kitambo nilikua nimepoteza kumbu kumbu kumfaham.
Alinifahamisha ..nami nikamkumbuka.
Kizaa zaa kikaanza kila mda, kila siku nimeseji tu messenger sipumui kumbe lengo lake lilikua nikunambia nimchukulie zawadi yenye thamani ya 40,000/=.
Nikamjibu, " acha wewe huyo mke wangu simbebei " Basi akajifanya kuninunia nami nikamwambia we nuna wakati mama watoto wangu Ana furaha wala haunipi shida.
Zikapita siku kama tatu akaja tena hewani. Bado akaja vile vile na mimi nikamjibu kama mwanzo akanuna tena.
Sasa nikaona isiwe tabu maana anazingua anaomba zawadi mi naomba mzigo ananijibu hawezi kufanya huwo ujinga. Nikaamua kum block.
Sasa juzi ya kuamkia jana nikaona kaniomba tena urafiki akaut yangu nyingine maana namiliki akaunt tatu ...nikamkubalia, ila bado kaja tena kama alivyonambia miezi iliyopita.
Nikamwambia kama unataka hiyo zawadi kutoka kwangu basi na mimi nataka show kutoka kwako kagoma.
Akanijibu kwamba ooh mimi siwezi kutembea na wewe, sasa nikajiuliza Kama hataki kutembea na mimi mbona kila anapoingia messenger anataka kula vya kwangu?
Sasa jana nimemwambia kama huwezi basi tuyaache kama yalivyo kila mtu apambane na hali yake.
Namsubiri akija vingine nam block tena.
Sipendagi upuuzi mimi.