Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Ukiitiwa Fursa Ujue wewe ni Fursa.
Je umewahi kuitiwa Fursa?Je umewahi kujiuliza kama ni fursa kweli kwa nini haitumii mwenyewe?Je umekuwa mtu wa wasi kila mara unapoona fursa na kuhisi kuwa unapoteza?Kama jibu ni Ndio Basi hauko peke yako.Wako wengi sana ambao wamejikuta katika mtego huo ni kujikuta wakipoteza fursa kwa sababu ya kuwa FURSA.
Mwaka 2009 niliitiwa fursa ambayo ilikuwa inahusu biashara ndogo iliyohitaji mtaji mdogo ambao ulikuwa ndani ya uwezo wangu,kwa sababu ya kufikiri kwamba kila fursa unayoitiwa basi na wewe ni fursa nilipuuza.Miaka 7 baadae yule bwana aliyeniita fursa alikuwa akitengeneza 6 figures kwa fursa ile ile.
Fursa ni nini?Ili fursa ikamilike na kuwa fursa lazima iwe na sifa kuu zifuatazo:
Kwanza lazima uielewa vizuri inahusu nini?
Pili uelewe kiwango cha risk utakachoweka
Pia uelewe kiwango cha faida unachoweza pata
Pia uelewe ukomo wa fursa
Uelewe urahisi na ugumu wa fursa yenyewe
Fursa nyingi zinaweza kuwa mpya kwako lakini zimekuwepo muda mrefu kabla.Ni muhimu ukatafiti kabla ili kufahamu Fursa husika ni zipi na faida zake.
Karibuni tujadili kwa pamoja namna bora za kutambua fursa sahihi na kuzitumia