Frank Mazagazaga
Member
- Sep 11, 2018
- 44
- 58
Siri kubwa ya kutotolesha mayai kwa mafanikio siyo tu kuwa na incubator – ni kuhakikisha joto (temperature) na unyevu (humidity) viko kwenye viwango sahihi na vimebalance muda wote.
Wakuu habari za majukumu,
Kwanza nianze na maelezo mafupi kuhusu incubator – ni kifaa kinachotumika kutotolesha mayai kwa kutumia umeme badala ya kuku wa asili. Hii teknolojia inasaidia sana kwa mfugaji wa kisasa anayetaka kuongeza uzalishaji bila kutegemea kuku wanaotamia, kwani kuna changamoto kadhaa kama kuku kuacha mayai, kuku kushindwa kuatamia mayai mengi na kwa wakati mmoja n.k
SASA: CHANGAMOTO KUBWA KWENYE INCUBATOR NYINGI ZA KUTENGENEZA NYUMBANI HUWA NI HIVI VITU VIWILI AMBAVYO MARA NYINGI HAVIKO SAWA;
1. JOTO (temperature) ambalo ndilo linapelekea kiini tete kujitengeneza na kukuwa ndani ya yai kwa siku zote 21.
2. UNYEVU (humidity) ambao unasaidia kuondoa ugumu wa ganda la yai ili iwe rahisi kwa kifaranga kuweza kupasua ganda la yai na kutoka nje.
muhimu: Joto likipanda sana, mayai yanaharibika kiini tete kinashindwa kuelendelea kukua na Humidity ikiwa ndogo, vifaranga wanashindwa kutoka vizuri. Hapo ndipo watu wengi hukwama.
Tunafanyaje sasa kupata matokeo 99% katika INCUBATOR zetu ?
Sasa Basi acha leo niwaelezee kuhusu hiki kifaa XK-W1099 Temperature & Humidity Controller hiki ni kifaa maalumu kilichobuniwa na kinachosaidia kudhibiti Hali ya JOTO na UNYEVU automatically ndani ya incubator (picha ya kifaa mwisho mwa post)
''''''Kwa lugha rahisi, XK-W1099 ndicho “UBONGO” wa incubator yako – kinasoma hali ya ndani na kuamua vifaa vya joto au vya unyevu viwashwe au vizimwe ili kuweka balance sahihi kwa kutotolesha mayai.''''''
VIWANGO SAHIHI VYA JOTO NA UNYEVU
Sasa Kwa mafanikio ya kutotolesha mayai, ni muhimu sana kudhibiti viwango sahihi vya joto na unyevu ndani ya incubator.
Kwa kawaida, kiwango cha joto kinachohitajika ni kati ya 37.5°C hadi 38°C, kwani kupungua au kupanda zaidi ya hapo huathiri ukuaji wa kiinitete.
Vilevile, kiwango cha unyevu kinapaswa kudhibitiwa kati ya 50% – 55% katika siku za mwanzo, kisha kuongezwa hadi 65% – 70% siku tatu za mwisho kabla ya kutotolewa. Uwiano huu wa joto na unyevu husaidia mayai kutotolewa kwa asilimia kubwa na kupata vifaranga wenye afya.
FAIDA ZA KUTUMIA XK-W1099 KWENYE INCUBATOR
Kwa ufupi, kama unataka incubator yenye matokeo thabiti na ya kitaalamu, temperature na humidity lazima ziwe balance. XK-W1099 na controller aina nyingine upgraded zaidi ndivyo vifaa vinachokupa hiyo balance bila kuumiza kichwa.
BINAFSI
Mwanzo nilikuwa natumia controllers kama W1209, W1219 na W3002, na kweli zilisaidia kwa kiwango fulani kudhibiti joto. Lakini changamoto kubwa ilikuwa unyevu – kila mara hatching rate ilikuwa ya kubahatisha. Nilipobadilisha na kuanza kutumia XK-W1099, ndipo niliona tofauti kubwa: kifaa hiki kinadhibiti temperature na humidity kwa pamoja na matokeo yake yamekuwa thabiti zaidi, vifaranga wanatotolewa kwa wingi na kwa wakati. Kwa kweli, hakuna kifaa kilichoniongezea hatching rate kama hiki.
JINSI YA KUTENGENEZA INCUBATOR
Katika utengenezaji wa incubator ukiwa na XK-W1099, unaweza kutengeneza hata ya mayai 300+ kulingana na ukubwa na insulation ya boksi, lakini hapa nitaelekeza incubator ndogo ya mayai hadi 90. Vifaa vya msingi ni hivi:
Jinsi inavyofanya kazi kwa ufupi: XK-W1099 “hufuatilia” joto na humidity kupitia sensa, kisha huwasha/kuzima heater na humidifier ili kubaki kwenye viwango ulivyoset (mf. 37.5–38 °C na 50–55%, kisha 65–70%). Hii ndiyo siri ya matokeo thabiti kwa mayai yako bila stress.
SASA KATIKA POST INAYOFUATA NITAELEKEZA HATUA KWA HATUA JINSI YA KUTENGENEZA INCUBATORS ZA UKUBWA NA AINA TOFAUTI (Layout ya vifaa, wiring rahisi na setingi zilizoelekezwa hapo juu)
SIMU: 0657923089
USHAURI_KUHUSU_INCUBATOR
KUMBUKA Siri kubwa ya kutotolesha mayai kwa mafanikio siyo tu kuwa na incubator – ni kuhakikisha joto (temperature) na unyevu (humidity) viko kwenye viwango sahihi na vimebalance muda wote.

- • Kina screen ndogo na buttons za kuset viwango vya joto na unyevu unavyohitaji.
- • Kimeunganishwa na sensor – moja hupima joto la ndani ya incubator, na pili hupima kiwango cha unyevu (humidity).
- • Kinaunganishwa moja kwa moja na heater (kwa kudhibiti joto) na humidifier au water tray na fan (kwa kudhibiti unyevu).
- • Kifaa hufanya kazi kwa mfumo wa auto ON/OFF – mfano, joto likishuka chini ya kiwango ulicho set, heater inawashwa; likipanda sana, heater inazimwa. Vivyo hivyo, humidity ikipungua kifaa kitawasha humidifier, na ikizidi, kinazima.
''''''Kwa lugha rahisi, XK-W1099 ndicho “UBONGO” wa incubator yako – kinasoma hali ya ndani na kuamua vifaa vya joto au vya unyevu viwashwe au vizimwe ili kuweka balance sahihi kwa kutotolesha mayai.''''''
VIWANGO SAHIHI VYA JOTO NA UNYEVU
Sasa Kwa mafanikio ya kutotolesha mayai, ni muhimu sana kudhibiti viwango sahihi vya joto na unyevu ndani ya incubator.
Kwa kawaida, kiwango cha joto kinachohitajika ni kati ya 37.5°C hadi 38°C, kwani kupungua au kupanda zaidi ya hapo huathiri ukuaji wa kiinitete.
Vilevile, kiwango cha unyevu kinapaswa kudhibitiwa kati ya 50% – 55% katika siku za mwanzo, kisha kuongezwa hadi 65% – 70% siku tatu za mwisho kabla ya kutotolewa. Uwiano huu wa joto na unyevu husaidia mayai kutotolewa kwa asilimia kubwa na kupata vifaranga wenye afya.
FAIDA ZA KUTUMIA XK-W1099 KWENYE INCUBATOR
- Unapata balance sahihi ya joto na humidity inayohitajika kwa vifaranga. mfano, unaweza kuset 37.5°C – 38°C kwa joto na 50% – 55% humidity siku za mwanzo, kisha kuongeza hadi 65% – 70% siku tatu za mwisho.
- Unapunguza loss ya mayai inayosababishwa na makosa ya udhibiti wa hali ya joto na unyevu. Kwa matokeo niliyoyokwisha kufanya kiwango cha mafanikio kimekuwa kikubwa hadi kufikia asilimia 98 au zaidi mara nyingine ya hatch rate za awali.
- Inafanya incubator ya kienyeji kuwa na matokeo ya kitaalamu kwa gharama ndogo, bila kulazimika kununua incubator ghali kutoka dukani.
- Tofauti na controller nyingine za kawaida (kama W1219 ambazo hudhibiti joto pekee), XK-W1099 inadhibiti joto na humidity kwa wakati mmoja, hivyo inakupa ubora wa hali ya juu zaidi.
- Inatumia umeme mdogo sana, kwa sababu ina mfumo wa auto ON/OFF unaoendesha heater au humidifier pale inapohitajika tu.
- Inaweza kufanya kazi kwenye incubator ndogo za mayai hadi kubwa zenye mamia ya mayai 300+ – ikiwemo kuku, kanga, bata, n.k
- Ni rahisi sana kutumia – kuset viwango ni sawa na kuset saa, unabonyeza buttons na kila kitu kinaenda sawa.
- Ni kifaa cha kuaminika, kinachodumu muda mrefu, na nimejidhihirisha kuwa msaada mkubwa kwa ufugaji mdogo na wakubwa
Kwa ufupi, kama unataka incubator yenye matokeo thabiti na ya kitaalamu, temperature na humidity lazima ziwe balance. XK-W1099 na controller aina nyingine upgraded zaidi ndivyo vifaa vinachokupa hiyo balance bila kuumiza kichwa.
BINAFSI
Mwanzo nilikuwa natumia controllers kama W1209, W1219 na W3002, na kweli zilisaidia kwa kiwango fulani kudhibiti joto. Lakini changamoto kubwa ilikuwa unyevu – kila mara hatching rate ilikuwa ya kubahatisha. Nilipobadilisha na kuanza kutumia XK-W1099, ndipo niliona tofauti kubwa: kifaa hiki kinadhibiti temperature na humidity kwa pamoja na matokeo yake yamekuwa thabiti zaidi, vifaranga wanatotolewa kwa wingi na kwa wakati. Kwa kweli, hakuna kifaa kilichoniongezea hatching rate kama hiki.
JINSI YA KUTENGENEZA INCUBATOR
Katika utengenezaji wa incubator ukiwa na XK-W1099, unaweza kutengeneza hata ya mayai 300+ kulingana na ukubwa na insulation ya boksi, lakini hapa nitaelekeza incubator ndogo ya mayai hadi 90. Vifaa vya msingi ni hivi:
- Jumba la incubator — box imara/sanduku la mbao/friji bovu (liwe na insulation nzuri ili kuhifadhi joto).
- Fan ndogo ya kusambaza hewa — mfano fan ya PC 12V DC, 24V DC au 220V AC (80–120 mm) ili kusawazisha joto na unyevu ndani.
- Heater / taa ya joto — kwa ukubwa huu, 40W 60W au 100W.
- Humidifier — ultrasonic mist maker au treyi ya maji + “wick/sponge” ili kuongeza unyevu inapohitajika.
- Motor ya kugeuza mayai (hiari) — 2–6 RPM; kama ni manual, geuza mayai mara 2–3 kwa siku.