lutemi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,748
- 1,388
- Thread starter
- #21
Hii ndio alipanga kuifanya Lugano pale Segerea... Kama alifanikiwa sijui [emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ukisikia wanachochangia huko bungeni ni kupaniki tu. Sasa ukitaka kuwapa watu ugonjwa wa moyo wewe waambie nagombea kwa ticket ya chama cha CCM. Yaani hasa wa bunge wa ccm itakuwa full stress . Uwaambie nimepata kibali toka ngazi za juu