Anne Maria
JF-Expert Member
- Mar 22, 2012
- 399
- 98
Kichwa cha habari kinahusika
Naomba anayejua hatua zinazotakiwa kufatwa anisaidie tafadhali
asanteni
Naomba anayejua hatua zinazotakiwa kufatwa anisaidie tafadhali
asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Identify mtoto anaemtaka kumwa adopt,then nenda ofisi ya Ustawi wa jamii ya karibu yako,wawo watakupa form za kujaza na taratibu nyingine.
Unaweza fika kwa masista mfano pale msimbazi au Mburahati onana na sister Mkuu,eleza wao unachotaka na umri unaoutamani wa mtoto,then wao na wewe mtaenda tena ustawi wa jamii kufanya paper works.