ukitaka ku adopt mtoto unafata hatua zipi??

Anne Maria

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
399
Reaction score
98
Kichwa cha habari kinahusika
Naomba anayejua hatua zinazotakiwa kufatwa anisaidie tafadhali
asanteni
 
Identify mtoto anaemtaka kumwa adopt,then nenda ofisi ya Ustawi wa jamii ya karibu yako,wawo watakupa form za kujaza na taratibu nyingine.
Unaweza fika kwa masista mfano pale msimbazi au Mburahati onana na sister Mkuu,eleza wao unachotaka na umri unaoutamani wa mtoto,then wao na wewe mtaenda tena ustawi wa jamii kufanya paper works.
 
asante sana,, na kawaida inachukua kama kuda gani mpaka kukamilisha kila kitu...
 
Back
Top Bottom