Identify mtoto anaemtaka kumwa adopt,then nenda ofisi ya Ustawi wa jamii ya karibu yako,wawo watakupa form za kujaza na taratibu nyingine.
Unaweza fika kwa masista mfano pale msimbazi au Mburahati onana na sister Mkuu,eleza wao unachotaka na umri unaoutamani wa mtoto,then wao na wewe mtaenda tena ustawi wa jamii kufanya paper works.