Ukitaka kuamka asubuhi uione pesa yako, mchana uione na usiku uione biashara itakushinda

Ukitaka kuamka asubuhi uione pesa yako, mchana uione na usiku uione biashara itakushinda

robby one fashion

New Member
Joined
Aug 25, 2014
Posts
4
Reaction score
20
Na Bikira

Ukiwa mkulima, sharti uifukie mbegu ardhini, ikae huko bila kuiona kwa muda fulani mpaka itakapochipuka, ikaota na kuzaa matunda. Ukiwa mfanyabiashara sharti ni hilohilo. Lazima uwekeze, yaani ukubali kuweka pesa yako mahala usiione kwa muda mpaka itakapoanza kuingiza pesa na kuzaa matunda.

Ukitaka kuamka asubuhi uione pesa yako, mchana uione na usiku uione biashara itakushinda. Ndio maana ukimuomba mfanyabiashara hela akakuambia sina sio kwamba amefulia, ameiweka ile hela mahala ili baadaye izae matunda.
 
Back
Top Bottom