chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Hii ni siri nakupa kama unataka kufanikiwa
Wafanyabiashara wengi tunapenda kuonekana kwenye biashara zetu bila sababu ndio upelekea kuishindwa au kuanguka.
Wafanyabiashara wakubwa hawapendi kuonekana kwenye biashara zao kukwepa lawama au kuzoeleka na wafanyakazi na wateja.
Kwa nini?
Ukionekana kwenye biashara zako kama unamitaji mikubwa kuna haya:

- Biashara za mazoea zinaanza kwa sababu wanaona wanakumudu.
- Wakopaji wanaongezeka na mali kauli zisizo na muelekeo.
- Shida za wanaokuzunguka zitaanza.