Ukitaka kufanikiwa kwenye biashara zako usipende kuonekana sana kwenye hizo biashara

Ukitaka kufanikiwa kwenye biashara zako usipende kuonekana sana kwenye hizo biashara

Labda unazungumzia biashara ya Bangi.
Biashara zetu tunajuwa wenyewe namna tulivyosota kupata mitaji mpk kuanzisha biashara,alafu umuajiri mtu umuache..fyuuuu
 
Back
Top Bottom