Aiseeee.... Mwamedi hashindi kwenye maduka yake ila kila muda yupo mitandaoni kujimwambafaiHii ni siri na kupa kama unataka kufanikiwa
Wafanyabiashara wengi tunapenda kuonekana kwenye biashara zetu bila sababu ndio upelekea kuishindwa au kuanguka.
Wafanyabiashara wakubwa hawapendi kuonekana kwenye biashara zao kukwepa lawama au kuzoeleka na wafanyakazi na wateja.
Kwa nini?
Ukionekana kwenye biashara zako kama unamitaji mikubwa kuna haya:
Hii ni kweli wala sio uongo na watu wengi wamefanikiwa sana na wanaogopwa kwenye biashara zao
- Biashara za mazoea zinaanza kwa sababu wanaona wanakumudu.
- Wakopaji wanaongezeka na mali kauli zisizo na muelekeo.
- Shida za wanaokuzunguka zitaanza.
Unaweza usionekane halafu watu wakapata nafasi ya kukuibia vizuri.Hii ni siri na kupa kama unataka kufanikiwa
Wafanyabiashara wengi tunapenda kuonekana kwenye biashara zetu bila sababu ndio upelekea kuishindwa au kuanguka.
Wafanyabiashara wakubwa hawapendi kuonekana kwenye biashara zao kukwepa lawama au kuzoeleka na wafanyakazi na wateja.
Kwa nini?
Ukionekana kwenye biashara zako kama unamitaji mikubwa kuna haya:
Hii ni kweli wala sio uongo na watu wengi wamefanikiwa sana na wanaogopwa kwenye biashara zao
- Biashara za mazoea zinaanza kwa sababu wanaona wanakumudu.
- Wakopaji wanaongezeka na mali kauli zisizo na muelekeo.
- Shida za wanaokuzunguka zitaanza.
Kikubwa onekana kwenye biashara yako. Nidhamu ndio chanzo cha mafanikio yako.
Unaweza usionekane kumbe vijana stock ikiisha wanaweka yao wanauza ndio wanakuja kushitua.
Kama wewe ni chinga utafanya biashara gani ya bila kuonekana
unavofikiria sivo ndivo .tuna mmiliki mkubwa hapa wa basi fresta lakini uwezi kuona .na kwa nini
kafika malengo nimekupa sample
Mkuki na jambia unauzaje?Hebu tueleze kwanza biashara gani kubwa unayoimiliki boss ili tujifunze kwa vitendo, maana maneno ya motivational speakers yanachosha kinoma.