Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,725
- 3,271
- Thread starter
-
- #181
Nani alikudanganya??? Hivi waliofanikiwa miaka 90s walikuwa ni kinani? Na kipindi hiko kulikuwa na technology ya hizi smartphone???Huwezi kuikimbia technologia ukafanikiwa
Hata watu walioishi kabla ya yesu walifanikiwa bila umemeNani alikudanganya??? Hivi waliofanikiwa miaka 90s walikuwa ni kinani? Na kipindi hiko kulikuwa na technology ya hizi smartphone???
Kama kazi yako ni umakuli sokoni na kubeba mizigo kichwani upo sahihi kuwa mawazo uliyonayoNani alikudanganya??? Hivi waliofanikiwa miaka 90s walikuwa ni kinani? Na kipindi hiko kulikuwa na technology ya hizi smartphone???
So unaamaana gani unaposema huwezi kuikimbia technology ukafanikiwa????Hata watu walioishi kabla ya yesu walifanikiwa bila umeme
Acha mimi nianze kujaribu.soon ninunue kiswaswaduMe siwezi aiseeee
Utaweza tuAcha mimi nianze kujaribu.soon ninunue kiswaswadu
We endelea na kitochi chako.Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.
Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.
Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.
Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.
Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.
Natanguliza shukurani wakuu.
AlibabaAcha ubabaishaji, hizo digital marketing ni utapeli mtupu hakuna aliye tajirika huko
Mkuu nakubaliana na ww kabsa, i once started a thread "nataka kutumia mitandao ya kijamii kwa manufaa tu"Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.
Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.
Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.
Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.
Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.
Natanguliza shukurani wak
Duuh,hapa tundo nimeona wewe hujui umuhimu wa smartphone [emoji336]Acha ubabaishaji, hizo digital marketing ni utapeli mtupu hakuna aliye tajirika huko
Utajiri upo upande WA technology halafu we unawashauri waachane na technology,mabilionea top 10 duniani ,lazima watano WApo kwenye tech ,Jeff bezoa,Mark ,Elon ,na wengine wote WApo kwenye tech,hapa penyewe unawasiliana na sisi kupitia techCAME ON GUYS!! LEAVE THE PHONE AND LET'S GO TO STREET TO MAKE SAME MONEY [emoji383][emoji383][emoji383]
NIAMINI MIMI PESA IPO MTAANI NASIO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII WALA HIZO DIGITAL MARKETING
Tunabishana na kidogo letu Kumbe😀😀sema social media ni ukichana kweli ukiwa na addiction unaweza bishana Hadi na chizi ,uzi wake mtu mwenye akili timamu hawezi bishana naye maana kubishana na chizi utaonekana chiziUza simu uondoke kwa wazazi wako kwanza..
Watu wanahangaika kubishana na 21yrs si Ni matatizo haya.View attachment 2637823