Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

Umeongea ukweli mtupu mkuu, kiukweli hizi smartphones zilikuja kuwamaliza vijana.

Vijana wanatumia Simu kuendekeza mambo ya kijinga kwenye social media especially on Facebook badala ya kupeana michongo ya maana itakayowatoa kimaisha.
 
Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.
1685262991116.png

Picha | Vijana na Smartphone
 
Ni vile unavyotumia wewe, kama umeamua kujiunga magroup ya kina mtamu telegram, lazima ikupotezee muda
 
Elimu gani mkuu unaweza kupata kwenye mitandao ya kijamii?

Watu wengi wanafeki life wanajiita motivation speaker kumbe hamna lolote.

Kama ni elimu mtaani utaipata vyema ukifocus na maisha seriously
Hii dunia inahitaji Internet kuliko unavyofikiria wewe
 
Ni sawa na kusema computer hazifai, smart phones ni kama vi-vomputer. Ukijitambua smart phones ni nzuri kwa kuelimisha. Unatembea na library mkononi
 
Smartphone mimi ndio ofisi maisha yangu yanaendeshwa na simu + computer+ internet...huu ndio utajiri na ajira yangu ya kudumu.
Muhimu kama wewe mtandao haukusaidii jua kuna ambao tukikosa mtandao kwa masaa tu ni kama kukosa dili, naweza kupunguza kunywa bia kusudi ninunue bundle.
Wote hatuwezi kupatia kipato kwenye mtandao wengine mnapaswa muajiriwe, mjiajiri shambani, biashara, udalali bila ya kuhusisha digital skills & knowledge
 
Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.

Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.

Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.

Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.

Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.

Natanguliza shukurani wakuu.
Kwa hiyo thread hii umewezaje kuiandika ?,Ulianza Kwanza kwa kujiunga Jamii Forum,Baadaye umeifuatilia weee ukaandika na hii thread.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Nasubiri maoni ya waliofanikiwa kwa kutumia smart phone. Ila kwangu ukitumia kwa busara utafaidi mengi, utauweka ulimwengu kiganjani. Zamani watu walienda library kubukua, Leo hii unabukua kiganjani, ni raha sana. Niki- gouge neno Plato, tayari napata elimu kuhusu "allegory of the cave" raha sana, yaaaaani basi tu!
 
Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.

Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.

Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.

Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.

Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.

Natanguliza shukurani wakuu.
Mohamedex121 bado tuu haujapata mteja wa simu yako mpaka sasa?
Leo tuu naona umeingia humu asubui
 
Attachments

  • Screenshot_2023-08-26-16-05-42-384_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2023-08-26-16-05-42-384_com.android.chrome.jpg
    310.8 KB · Views: 5
Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.

Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.

Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.

Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.

Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.

Natanguliza shukurani wakuu.
Bado hujauza tu smartphone.
Screenshot_20230826-161742.jpg
 
Sio kweli Bali ni akili yake
Smartphone ndio yenye connection zote na taarifa zote za kutoboa.
Unaitumia ikupe taarifa na maarifa jinsi ya kutoboa
 
Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.

Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.

Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.

Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.

Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.

Natanguliza shukurani wakuu.
kama una laptop au desktop kompyuta, uza smartphone, nunua modem ya elfu 24 4g zile za zantel (tena sasahvi mmiliki wa tigo na zantel ni mmoja hivyo sio shida, zinaingiliana) na kasimu kadogo ka mawasiliano.

utashangaa kwa wiki unaingia jamii forum mara moja tu tena ukiwa week end tena kama una familia dkk kadhaa tu una cheki niuzi unatoka.............. mafacebook, maistergram achana nayo!!
 
Unaweza ukawa huna simartphone, ila Kwa mademu Sasa [emoji23][emoji23], unaweza usiwe na simu janja ila Pombe hizo mzee [emoji23][emoji23][emoji23], unaweza usiwe na simu janja ila Mitoko isiyo ya misingi na bata batani [emoji23][emoji23][emoji23]

Kila mtu atunze/atumie hela zake vile awezavyo na atafanikiwa kwa mapenzi yake Mungu.
 
Una miaka mingapi kwanza,Huwezi pelekeshwa na na smart phone na mitandao.Akili kichwani.
 
Back
Top Bottom