Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.
KabisaAcha ubabaishaji, hizo digital marketing ni utapeli mtupu hakuna aliye tajirika huko
Hii dunia inahitaji Internet kuliko unavyofikiria weweElimu gani mkuu unaweza kupata kwenye mitandao ya kijamii?
Watu wengi wanafeki life wanajiita motivation speaker kumbe hamna lolote.
Kama ni elimu mtaani utaipata vyema ukifocus na maisha seriously
Facebook mara ya mwisho kuitumia 2018
Instagram mara ya mwisho kuitumia 2019
Twitter na Jamii forum huwa naingia jumamosi na jumapili. Jumatatu nazi uninstall zote.
Whatsapp haikwepeki naitumia kiofisi.
Kwa hiyo thread hii umewezaje kuiandika ?,Ulianza Kwanza kwa kujiunga Jamii Forum,Baadaye umeifuatilia weee ukaandika na hii thread.Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.
Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.
Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.
Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.
Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.
Natanguliza shukurani wakuu.
Mohamedex121 bado tuu haujapata mteja wa simu yako mpaka sasa?Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.
Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.
Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.
Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.
Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.
Natanguliza shukurani wakuu.
Unaacha na kupiga NYETO au unaacha tu kutumia smartphone?hasa kucheck porn.
Bado hujauza tu smartphone.Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.
Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.
Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.
Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.
Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.
Natanguliza shukurani wakuu.
kama una laptop au desktop kompyuta, uza smartphone, nunua modem ya elfu 24 4g zile za zantel (tena sasahvi mmiliki wa tigo na zantel ni mmoja hivyo sio shida, zinaingiliana) na kasimu kadogo ka mawasiliano.Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.
Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.
Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.
Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.
Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.
Natanguliza shukurani wakuu.
Jizi hilooo!!!!Smartphone through digital marketing, napiga sana hela..