Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

Umeongea ushuzi baridi fursa zipo kwenye cyber space. Mkulima na mtamaduni kama huyu haelewi opportunity zilizoletwa na inernate inasikitisha sana
 
Mkuu upo old stone, smartphone ndiyo chanzo cha mapato kwa vijana walio wengi kwasasa
 
huna hela ya bando mpka leo
 
Elimu gani mkuu unaweza kupata kwenye mitandao ya kijamii?

Watu wengi wanafeki life wanajiita motivation speaker kumbe hamna lolote.

Kama ni elimu mtaani utaipata vyema ukifocus na maisha seriously
Nakubali 🤣
 
Nimechagua jamii forum pekee ndiyo jukwaa langu pendwa lakini nayo hunitengenezea uraibu kwamba kila pumziko langu lazima niripoti.Kuishia bando ni mfadhaiko na bahati ya pekee ni kuwa natumia Kaios app inayotumia data taratibu hivyo kifurushi cha 1000 voda kina dakika 40 na 350MB kwa wiki.Mfumo huu unatengeneza nidhamu ya matumizi kwa upande wangu kiuchumi na muda wa kukaa mtandaoni.Dukuduku langu ni kuwa enyi mtumiao Android app yenye spidi ya 5G nidhamu ya kutenganisha kazi na burudani ipo kweli?Kama haipo focus yenu ni ipi kwa habari ya maisha haya?Hongera kwa mleta mada japo ni mada ya zamani.
 
Kawaze upya mkuu. Kuna watu wametajirika na wanaendelea kupiga hela kupitia smart phone. Usijiwazie wewe peke yako
 
Kuna mzee mmoja yeye alikataa kabisa TV nyumbani kwake miaka ile 2000. Sijui sasa hivi bado anakataza maana nimeona dish kubwa pale kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…