Ukitaka kufanya service ya gari lako kumbuka yafuatayo!

Ukitaka kufanya service ya gari lako kumbuka yafuatayo!

Hehehe siku hizi hata madila wa genuine parts wanauza feki spares. Kazi ni kwako!

cha muhimu ni kugandana na duka moja.....ili wakuzoee wasikushikishe masikio......zimwi likujualo......
 
Sell-Automatic-Roller-Car-Wash.jpg
...raha ya garage, gari nayo ikoshwe!
 
Inategemea pia make ya hilo gari, mfano gari nyingi wanafanya service after 10,000-15,000KM, lakini wale tunaoendesha BMW tunafanya service after 25,000km, na uzuri wake spare zake ni genuine, kazi kwenu mnao service kila mwezi
 
cha muhimu ni kugandana na duka moja.....ili wakuzoee wasikushikishe masikio......zimwi likujualo......
Ivi ukiweka oil ya BP kwenye Gear box iliochoka inakuwaje?
 
Ha...mi najua ufunguo umeuficha ndani, gari nimepaki wiki ya pili sasa sikuoni nikajua hutaki niendeshe .....basi niletee ufunguo laaziz
ushauri wa kwamba gari lipumzishwe si uliutoa wewe honey?, mimi naomba mungu unambie tuliendeshe kila siku tena ikiwezekana overspeed.
 
Inategemea pia make ya hilo gari, mfano gari nyingi wanafanya service after 10,000-15,000KM, lakini wale tunaoendesha BMW tunafanya service after 25,000km, na uzuri wake spare zake ni genuine, kazi kwenu mnao service kila mwezi

Kumbe inategemea na aina ya gari lol
 
ushauri wa kwamba gari lipumzishwe si uliutoa wewe honey?, mimi naomba mungu unambie tuliendeshe kila siku tena ikiwezekana overspeed.

basi kuanzia leo tutakuwa tunatumia overide hata kama tunaenda nusu kilometa.....sawa bebi...
 
ukiweka reverse gear usishangae ukaona gari linakwenda mbele heheheeh
Acha tu mzee siku izi watu wana tempa mpaka na digital spidometa! Yaani kitu kimeenda maileji ya ziro tano wanato ziro moja unajiona mjanja unaweka oil ya PB!
 
umeona eeh hiyo gari ishachoka hata mteja haipati

imenishtua....hiyo inayowekwa mradi oil...mmh......hiyo siyo kabisa....haikawii kuwekwa mafuta ya brake kutumika kama maji ya wiper
 
Garage
Gari mweeeeh! Tusio na magari yaani wenye baiskeli inakuwaje?
 
Back
Top Bottom