Kila nchi ina misingi yake iliyowekwa na waasisi wa nchi hizo.ziko nchi mpaka sasa wanaangaika kuweka misingi ya amani ili wapate maendeleo lakini mpaka sasa bado.Mfano wa nchi hizo ni Somalia,Burundi,Congo,central Africa, Sudan, nk.kwa kukosa misingi inayowaweka wananchi wake pamoja wakajiona Wamoja ndiyo chanzo cha vurugu katika nchi hizo.
Baba wa taifa aliweka misingi mizuri ambayo ndiyo imeshikiria amani ya nchi hii.kila mtanzania anashiriki utajiri au umaskini wa mwenzake kwa amani.wanagawana keki ya taifa kwa amani.sera ya majimbo ni wazo la matajiri,wakabila,wanaomiliki utajiri wa eneo fulani.tusipende kukopy na kupest.Chadema kabla ya kuja na wazo hili mngetakuwa kujua misingi ya taifa hili iliyojengwa na baba wa taifa.Kuvunja misingi hii ni kuleta lana juu ya taifa letu.kila kitu kina faida na hasara zake.sasamsihubiri faida tu bila kutaja na hasara zake.
Mwasomi wazalendo mnatakiwa kufanya research ili kuleta kitu ambacho kitadumisha misingi ya taifa.