Sisi tuna tofauti gani na hao kama njaa hata siri imetuingia kwelikweli labda hatujaanza kugombana tu ila hali kupendelea hivi huko mbeleni tutabebeana magobole.Mfano wa nchi hizo ni Somalia,Burundi,Congo,central Africa, Sudan
Muungano nao ulikuwa kwenye msingi wa Tanganyika?Kila nchi ina misingi yake iliyowekwa na waasisi wa nchi hizo.ziko nchi mpaka sasa wanaangaika kuweka misingi ya amani ili wapate maendeleo lakini mpaka sasa bado.Mfano wa nchi hizo ni Somalia,Burundi,Congo,central Africa, Sudan, nk.kwa kukosa misingi inayowaweka wananchi wake pamoja wakajiona Wamoja ndiyo chanzo cha vurugu katika nchi hizo.
Baba wa taifa aliweka misingi mizuri ambayo ndiyo imeshikiria amani ya nchi hii.kila mtanzania anashiriki utajiri au umaskini wa mwenzake kwa amani.wanagawana keki ya taifa kwa amani.sera ya majimbo ni wazo la matajiri,wakabila,wanaomiliki utajiri wa eneo fulani.tusipende kukopy na kupest.Chadema kabla ya kuja na wazo hili mngetakuwa kujua misingi ya taifa hili iliyojengwa na baba wa taifa.Kuvunja misingi hii ni kuleta lana juu ya taifa letu.kila kitu kina faida na hasara zake.sasamsihubiri faida tu bila kutaja na hasara zake.
Mwasomi wazalendo mnatakiwa kufanya research ili kuleta kitu ambacho kitadumisha misingi ya taifa.
Kila nchi ina misingi yake iliyowekwa na waasisi wa nchi hizo.ziko nchi mpaka sasa wanaangaika kuweka misingi ya amani ili wapate maendeleo lakini mpaka sasa bado.Mfano wa nchi hizo ni Somalia,Burundi,Congo,central Africa, Sudan, nk.kwa kukosa misingi inayowaweka wananchi wake pamoja wakajiona Wamoja ndiyo chanzo cha vurugu katika nchi hizo.

Nadhani una tatizo kubwa la ufahamu na uelewa ...sera ya majimbo imeshafanyiwa utafiti kitambo na iko kwenye rasimu ya Warioba ile ya katiba mpyaKila nchi ina misingi yake iliyowekwa na waasisi wa nchi hizo.ziko nchi mpaka sasa wanaangaika kuweka misingi ya amani ili wapate maendeleo lakini mpaka sasa bado.Mfano wa nchi hizo ni Somalia,Burundi,Congo,central Africa, Sudan, nk.kwa kukosa misingi inayowaweka wananchi wake pamoja wakajiona Wamoja ndiyo chanzo cha vurugu katika nchi hizo.
Baba wa taifa aliweka misingi mizuri ambayo ndiyo imeshikiria amani ya nchi hii.kila mtanzania anashiriki utajiri au umaskini wa mwenzake kwa amani.wanagawana keki ya taifa kwa amani.sera ya majimbo ni wazo la matajiri,wakabila,wanaomiliki utajiri wa eneo fulani.tusipende kukopy na kupest.Chadema kabla ya kuja na wazo hili mngetakuwa kujua misingi ya taifa hili iliyojengwa na baba wa taifa.Kuvunja misingi hii ni kuleta lana juu ya taifa letu.kila kitu kina faida na hasara zake.sasamsihubiri faida tu bila kutaja na hasara zake.
Mwasomi wazalendo mnatakiwa kufanya research ili kuleta kitu ambacho kitadumisha misingi ya taifa.
Mtoa mada hii iangalie SA ambayo ina serikali za majimbo na ipo wapi kulinganisha na nchi yetu.Nafhani una tatizo kubwa la ufahamu na uelewa ...sera ya majimbo imeshafanyiwa utafiti kitambo na iko kwenye rasimu ya Warioba ile ya katiba mpya