Ukitaka kuishi kwa furaha Afrika(Tanzania) kubali kuwa mjinga

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Kuna mdau mmoja katika moja ya nyuzi zangu ali comment hivi "Ukitaka kuishi kwa furaha Afrika kubali kuwa mjinga".

Yule member alikuwa sahihi kabisa ukitaka kuishi kwa furaha Afrika mfano Tanzania kubali kuwa mjinga.

Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha Afrika hasa kusini mwa jangwa la sahara.

Wote wenye furaha Afrika ni wamekubali kuwa wajinga.
 
Hayo n maoni Yako mkuu ..

Ngoja tuaikie na wengine wanasemajee.
 
Ila usiwe mjinga kupindukia, utateseka mno
 

Haiwezekani uwe na akili zinazofanya kazi vizuri na uishi Afrika kwa furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…