Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Kwa sababu ya Manara ilibidi Yanga watafute kikundi cha wapiga kelele angalu wapambane naye. Lakini sasa Yanga itkwenda kuwa juu sana.
Msimu ujao ulimuhitaji sana Manara. Yanga itakua imara sana, hapo ndipo malalamiko fc itakia Simba.
Jina Topolo litageuka kuwa Simba au kupotea
Tujiulize, Mabilioni 20 bila hamasa ya mshabiki yatafaa nini?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Ila Mo ashapita Singida United na African Lyon na pesa zake zikamshinda.Utakuwa mgeni wa mpira. Mpira ni pesa na timu nzuri ya scout kusajiri wachezaji wa maana kulingana na budget . Mengine ni mbwembwe za kuja na kuondoka . Ukitaka kujua udogo wa manara aende singida united na makelele yake na Mo aende Costal union na pesa zake uone nani ata shine. Timu zilizotuzidi zote kuanzia africa na dunia hazina usemaji wa namna ile . Zina pesa na scout wazuri
Mumeo anaongea leo saa 5 asbh.Kwa sababu ya Manara ilibidi Yanga watafute kikundi cha wapiga kelele angalu wapambane naye. Lakini sasa Yanga itkwenda kuwa juu sana.