Ukitaka kujia ukubwa wa Manara angalia Yanga inawasemaji wangapi

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
Kwa sababu ya Manara ilibidi Yanga watafute kikundi cha wapiga kelele angalu wapambane naye. Lakini sasa Yanga itkwenda kuwa juu sana.

Msimu ujao ulimuhitaji sana Manara. Yanga itakua imara sana, hapo ndipo malalamiko fc itakia Simba.

Jina Topolo litageuka kuwa Simba au kupotea

Tujiulize, Mabilioni 20 bila hamasa ya mshabiki yatafaa nini?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Utakuwa mgeni wa mpira. Mpira ni pesa na timu nzuri ya scout kusajiri wachezaji wa maana kulingana na budget . Mengine ni mbwembwe za kuja na kuondoka . Ukitaka kujua udogo wa manara aende singida united na makelele yake na Mo aende Costal union na pesa zake uone nani ata shine. Timu zilizotuzidi zote kuanzia africa na dunia hazina usemaji wa namna ile . Zina pesa na scout wazuri
 
Mbona timu za Ulaya zina mafanikio makubwa lakini hazina watu kama akina Haji. Haya ni mambo ya kiswahili yasiyo na maana yoyote.

Kuajiri watu kama hawa kwenye vilabu ni mbinu ya watu kupiga pesa za vilabu huko nyuma hawakuwepo lakini timu zilikuwepo na zilifanya tu vizuri kadri zilivyoweza.
 
Binadamu bana.. Yani huyo Haji wenu anacheza namba ngapi Simba? amefunga magoli mangapi msimu uliopita?

Acheni hizi cheap propaganda za kijinga ..National Al Ahly au Kaizer Chiefs wana Kina Haji wangapi?
 
Inaonekana utopolo walikuwa wanamuogopa manara kuliko chama na mikisoni, watopolo watu wa ajabu sana.
 
Nani anamjua Msemaji wa Barcelona FC humu?

Hivi unajua press ya Manara kwenye Ile derby nyingine ilichangia sana kuwapa morale wachezaji wa Yanga kuliko wachezaji wa Simba?

Simba imetoka huko kwenye kushindanisha wasemaji Kwa sasa.

Shindanisha squads Kwa sasa tena siyo na Yanga.
 
Utakuwa mgeni wa mpira. Mpira ni pesa na timu nzuri ya scout kusajiri wachezaji wa maana kulingana na budget . Mengine ni mbwembwe za kuja na kuondoka . Ukitaka kujua udogo wa manara aende singida united na makelele yake na Mo aende Costal union na pesa zake uone nani ata shine. Timu zilizotuzidi zote kuanzia africa na dunia hazina usemaji wa namna ile . Zina pesa na scout wazuri
Ila Mo ashapita Singida United na African Lyon na pesa zake zikamshinda.
 
Kwa sababu ya Manara ilibidi Yanga watafute kikundi cha wapiga kelele angalu wapambane naye. Lakini sasa Yanga itkwenda kuwa juu sana.

Msimu ujao ulimuhitaji sana Manara. Yanga itakua imara sana, hapo ndipo malalamiko fc itakia Simba.

Jina Topolo litageuka kuwa Simba au kupotea

Tujiulize, Mabilioni 20 bila hamasa ya mshabiki yatafaa nini?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mumeo anaongea leo saa 5 asbh.
 
Back
Top Bottom