Ukitaka kujipima kama unapendwa hapa nchini hasa mtandaoni WEWE MUONGELEE VIBAYA LISU NA CHADEMA

Ukitaka kujipima kama unapendwa hapa nchini hasa mtandaoni WEWE MUONGELEE VIBAYA LISU NA CHADEMA

Haitojalisha wewe unaumaarufu mkubwa kiasi gani ila ukimgusa LISU au kujifanya wewe mjuaji kwenye chadema UTASHAMBULIWA SANA mtandaoni SIJUI KWANINI
Lema na braza ake walikuwa wameifanya chadema kuwa saccos ya kupokelea pesa chafu kutoka kwa watawala haramu. zama zimebadilika. Hasira ama furaha za wananchi waTanganyika utaziona ijumaa
 
Lema na braza yake walikuwa wameifanya chadema kuwa saccos ya kupokelea pesa chafu kutoka kwa watawala haramu. zama zimebadilika. Hasira ama furaha za wananchi waTanganyika utaziona ijumaa
kuanzia ijumaa; itategemea japokuwa hasira za moyoni ni ngumu kuzipima. Natumai Mola atatunusuru kwa haya
 
Back
Top Bottom