technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Mo wakati anaingia Simba alitoka kustaafu kuwa Mbunge wa CCM uko Singida
Akaja Simba akatudanganya Simba itaichukua champions ligi
Akajaza wahuni wa CCM kwenye timu Kama Mangungo na Try Again.
Kibaya zaidi kajenga uwanja na kuuita jina lake badala ya jina la club
Katiba ikapigwa kapuni na hakuna kilichoendelea Kama ilivyokuwa katiba ya Warioba!!
Sasa timu inamfia anatafuta mchawi wakati anajuwa kabisa who is the problem.
Wakaja yanga Gsm(Kikwete) akaingia na kuanza kuadaa watu kwamba ataleta mabadiliko
Miaka 5 Sasa inakatika Eng alisema atajenga uwanja wa watu 20k jangwani mpaka sasa umebuma watu walivyo mazuzu wanawashangilia tu bila kujuwa wanatupiga kwenye jezi.
Sasa wanakimbilia ubunge wa CCM wote Mangungo Hersi na Harafat !!!
Mwendelezo wa katiba ya club kimya
Timu inasaliji tu na kutema wachezaji kihuni Kama ilivyo Simba
Nauliza Hawa matapeli wa CCM ni Jambo gani wanaweza fanikisha Kama timu Kama Simba yenye followers million 10 kwenye social media wanashindwa kuigeuza biashara?
Au yanga yenye followers milioni 8 kwenye social media wanashindwaje kuzigeuza kuwa biashara?
Timu zenye washabiki sio chini ya milioni 15 kila moja Tanzania mpaka nje ya nchi Kama Rwanda, Zambia Congo, Kenya na Burundi.
Hawa wataweza Nini zaidi ? Ndio maana nawaambia mkitaka kujuwa kwamba CCM ni mbovu ziangalie Simba na yanga zinavyoendeshwa kijinga ndio mtajuwa .
Hawa watu ndio wanaweza kusimamia tanzanite inayopatikana km 3 chini ya ardhi?
Au samaki kwenye kina Cha mita 500 chini ya bahari?
CCM is a big problem!!