Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Corona hakuna kitu. Hata wengi waliokuwa wanampinga Trump kuondoa lock down kwa kiandamana kwao wamejikuta wanam prove right na kumuunga mkono bila kujua.Miji kibao USA sasa hivi imefurika watu maandamano, vipi kuhusu Corona na social distancing tuliokuwa tunaambiwa?
KabisaaCorona hakuna kitu. Hata wengi waliokuwa wanampinga Trump kuondoa lock down kwa kiandamana kwao wamejikuta wanam prove right na kumuunga mkono bila kujua.
Fafanua mkuu.Communist China!
Una akili kidogo sana. Unajua maana ya incubation period ya infection? Fikiri kabla ya kuandika, fikiri please!Miji kibao USA sasa hivi imefurika watu maandamano, vipi kuhusu Corona na social distancing tuliokuwa tunaambiwa?
View attachment 1465406
It's so sad MTU Mkongwe kama wewe hapa na mwenye upeo unaanza kubebw na conspiracy za aina hio.
How come kweli uamini kuwa corona is fake?
Wale watu wote waliokufa Spain walikuwa wanaigiza!?
Saudi Arabia misikiti ikafungwa.
Vatican Roma Pope akafunga.
Serious umeshindwa kupambanua kwa akili ndogo tu.
Hapo wana US wana stress za lockdown, ajira hawana wamepoteza, a wengine wamekuwa evicted kwenye apartment zao. Kwa hio wakipata chance za kwenda kuzurura nje kwa hivyo Basi wanatoka kwa wingi.
Hahaha huyu jamaa na wanaoumuunga mkono wanachekeshaUna akili kidogo sana. Unajua maana ya incubation period ya infection? Fikiri kabla ya kuandika, fikiri please!