Ukitaka kujua corona ni fake, "false flag” angalia maandamano Marekani, no social distancing!

Una akili kidogo sana. Unajua maana ya incubation period ya infection? Fikiri kabla ya kuandika, fikiri please!


Niambie wewe maana yake, mimi naona situation on the ground kwamba maandamano hayajali Social distancing, ...
 
It's so sad MTU Mkongwe kama wewe hapa na mwenye upeo unaanza kubebw na conspiracy za aina hio.
How come kweli uamini kuwa corona is fake?
Wale watu wote waliokufa Spain walikuwa wanaigiza!?
Saudi Arabia misikiti ikafungwa.
Vatican Roma Pope akafunga.
Serious umeshindwa kupambanua kwa akili ndogo tu.

Hapo wana US wana stress za lockdown, ajira hawana wamepoteza, a wengine wamekuwa evicted kwenye apartment zao. Kwa hio wakipata chance za kwenda kuzurura nje kwa hivyo Basi wanatoka kwa wingi.
 


Kwa nini sasa USA yote hakuna social distancing kwenye maandamano tena kutoka wale wale waliotuambia tufanye lockdown?
 
Una akili kidogo sana. Unajua maana ya incubation period ya infection? Fikiri kabla ya kuandika, fikiri please!
Hahaha huyu jamaa na wanaoumuunga mkono wanachekesha

So USA, UK, France, Germany etc waharibu uchumi wao, mamilioni wanapoteza ajira, wafungie watu ndani, wasimamishe matukio muhimu na wanajua kabisa Corona ni fake?

Mwanzo walidai Corona ilitengenezwa na USA kuikomoa China

Bado wakadai Tena Corona imetengenezwa sijui kwa ajili ya Africa

Sasa hivi wanasema Corona ni fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…