Ukitaka kujua corona ni fake, "false flag” angalia maandamano Marekani, no social distancing!

Kwa hiyo hata wale waliokufa kwa korona nchi mbalimbali duniani wamefake vifo vyao?

Anayeamua kilichokuuwa ni anayeandika hati ya kifo chako, hata ukifa kwa mshtuko wa Moyo anaweza akaandika vinginevyo, ...
 

Ulivyooongea mkuuu kwa mbali nimepata mwangaza kuhusu huu ugonjwa kwamba wamarecani wanafanya hivyo ili wapotezee muda Tu kwenye hayo maandamano,hawana kazi,hawana pa kulala hawana hela,TATIZO UMETUMIA LUGHA CHAFU KUTUKANA SIO KUFUNDISHANA MKUU!
 
Kumuelewesha huyo jamaa huo muda ni bora tu ukajichue mzee baba.
 
Kwa nini sasa USA yote hakuna social distancing kwenye maandamano tena kutoka wale wale waliotuambia tufanye lockdown?
Wanavunja sheria, kwa sababu nilizozitaja hapo juu. Na ndio maana Mimi mingine nayo. Ili erupt faster sana. Na serikali z majimbo zinahangaika kuya control
 
Una akili kidogo sana. Unajua maana ya incubation period ya infection? Fikiri kabla ya kuandika, fikiri please!
Huwezi kuchangia bila kutukana ,sheria mpya za jf zifanye kazi sasa
 
Anayeamua kilichokuuwa ni anayeandika hati ya kifo chako, hata ukifa kwa mshtuko wa Moyo anaweza akaandika vinginevyo, ...
Kwa hiyo watu zaidi ya laki 1 US wamekufa kwa sababu nyingine tofauti na korona...na huko Italy, Spain, Iran (wabishi), n.k?

Ila nimecheka mwenyewe baada ya kuona hoja uliyotoa kuwa kutokuwepo social distancing kama ndio kigezo cha corona kuwa fake.

Huwenda wajitahidi ku-justify mawazo ya mtu fulani yaonekane ni sahihi.
 
Huwezi kusema corona ni fake kwa kuangalia hayo maandamano,watu wanatofautiana kuna wengine hawajali liwalo na liwe ndo kama hao wanaoandamana kuna wengine wamejifungia kuna wengine wanafata maelekezo yote ya kujilinda. So hayo maandamano ya watu wachache hivyo ndo u conclude population yote ya USA?
 
Labda utupe elimu mkuu,
Kama ni hoax je ni kwa faida ya nani na lengo hasa ni lipi?
Lengo kuuza ventilators na hizo PPEs( hujiulizi vipi ugonjwa uanze tu na mashine maalumu tayari zitengezwe Walifanya tafiti lini).kuteteresha uchumi wa baadhi ya nchi hivyo kuuziingiza nchi kwenye mikopo..kuuza chanjo(nafikiri ulimsikia battle Kati ya Marekani na ufaransa kwenye hili suala) n.k
 
Corona sio fake,is real..Ila tu kuna baadhi ya measures kama total lock down sio nzuri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…