Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

Wadau wana jamvi hivi hizi available slots mbona kama hazieleweki vile.
Nimeshangaa sana leo!! kwani katika kozi nyingi kulikuwa na waombaji wa kutosha na walio kuwa eligible walikua wa kutosha, Mfano ni kwenye kozi ya Bsc. in Building Economics ya Ardhi competition ilikua hivi
WALIO APPLY=2130
ELIGIBLE=1692
ELIGIBLE & 1st CHOICE=187
ADMISSION CAPACITY=20

sasa cha ajabu leo naona kuna available slot 17(inamaana wamechaguliwa wa3 tu??). na sio Kozi hii tu kuna kozi zingine nyingi tu, wadau hebu tuelezane bayana inakuaje mambo kama haya??
Naomba kuwasilisha

Available SLOTS ni 15 na sio 17 kama ulivyotaja kwenye hiyo program.
 
inawezekana coz nakumbuka pia wakat nimeaply few years ago niliwah pigiwa simu toka saut na kweli nilikuwa nimepata nafac so kuhakikisha kacheck kwa website yao
 
wadau available slotz t meanz katka hyo facult tayar no ya wa2 hao wako admitted.uktaka kupruv chek kwenye matkeo ya ud yaliyoleak b.a in economics wako 152 n ukiingia tcu available slots utakuta da same.
 
Dear Applicants,​
The second round for the admission into Central Admission System is officially opened from 13th August, 2012 to 25th August,2012.Those who did not apply or could not be admitted during first round are adviced to make application by clicking the button labeled "Application 2nd round".If this button is active then make sure you click and start application process for the second round.But if the button is NOT active then you are not required to make any application for the second round

CHA AJABU NAPOLOG IN BUTTON SIYO ACTIVE NIKIFUNGUA MY PROFILE IPO ACTIVE NIFANYE NINI MIE?
 
hivyo vyuo vilivyotoa majina ndivyo vyenye nafasi wazi kwa ajili ya second selection
 
kusema kweli haya majina cya tcu kwasababu nimechukua majina kma tano nikaenda kugoogle kuona matokeo yao ya 4m6 hamna hata moja lililoonye na kwa faculty kma economic and finance ilikuwa na slots 100 hapo wamewekwa watu 8 tu.
 
Ndg, jana nilifungua accaunt yangu Tcu nikaambiwa you are admitted ila leo nimekuta hilo neno halipo sasa naombeni anayefahamu kunako hili anijuze kulikoni?
 
Hiyo ya nje ndo inaonyesha kama unapaswa kuapply 2nd round au lah! Kama ya nje haiko active,huitaji 2nd round application.
 
Ndg, jana nilifungua accaunt yangu Tcu nikaambiwa you are admitted ila leo nimekuta hilo neno halipo sasa naombeni anayefahamu kunako hili anijuze kulikoni?

mkuu ucwe na wasiwasi hilo neno wamelitoa nadhan kwa kila m2
 
Dear Applicants,​
The second round for the admission into Central Admission System is officially opened from 13th August, 2012 to 25th August,2012.Those who did not apply or could not be admitted during first round are adviced to make application by clicking the button labeled "Application 2nd round".If this button is active then make sure you click and start application process for the second round.But if the button is NOT active then you are not required to make any application for the second round

CHA AJABU NAPOLOG IN BUTTON SIYO ACTIVE NIKIFUNGUA MY PROFILE IPO ACTIVE NIFANYE NINI MIE?

it goes that way to all of us mkuu..kwahiyo nadhani wana maanisha hiyo ya nje..??
 
Those
who did not apply
or could not be
admitted during first round are
adviced to make
application by
clicking the
button labeled
"Application 2nd round".If this
button is active
then make sure
you click and start
application
process for the second round.But
if the button is
NOT active then
you are not
required to make
any application for the second
round.
 
DEAR APPLICANT!!,APPLICATION AND ADMISSION PROCESS IS DONE ONLY ONCE PER EACH STUDENT,YOU HAVE ADMITTED ALREADY, BE PATIENT AND SOON YOU WILL KNOW WHERE YOU HAVE SELECTED,THANK YOU!!
mbona hii nayo ipo nikajaribu kufanya application tena: Na hakuna chochote kinachobadilika mkubwa
 
hii siipo ukiingia kwenye "my profile"? Yakuzingatia ni ile ya nje. Hayo maneno yenyewe yanaonya umechaguliwa,wasiwasi wa nini tena?
 
DEAR APPLICANT!!,APPLICATION AND ADMISSION PROCESS IS DONE ONLY ONCE PER EACH STUDENT,YOU HAVE ADMITTED ALREADY, BE PATIENT AND SOON YOU WILL KNOW WHERE YOU HAVE SELECTED,THANK YOU!!
mbona hii nayo ipo nikajaribu kufanya application tena: Na hakuna chochote kinachobadilika mkubwa

unapo login unakuta kitufe cha second round application kipo active ama vipi..??
 
Back
Top Bottom