Ukitaka kujua kama una upungufu wa akili au la pitia hapa

Ukitaka kujua kama una upungufu wa akili au la pitia hapa

Sasa mimi sjuwi nitakuwaje?

kuna muda naona imetulia.

kuna muda naona inazunguka kidogo.

sasa kuna muda inazidi speed kabisa halafu inastop ghafla.

kisha hali inaanza hivyo hivyo kama hapo juu.
 
Minaona inazunguka, naona sababu sazingine nakuwa na stress zangu tu.

Mpelekee bwanayule nayeye akaangalie.
 
Mmmh siamini nachokiona INA maana na mm ninavyoona hiyo picha inavyozUnguka speed..kwa hiyo na mm ndio dish limeyumba tayari.

Mleta thread una hatari sana
 
Nawashangaa wanaoiangalia hiyo picha wakati album nimeificha.
 
Back
Top Bottom