Ukitaka kujua kama una upungufu wa akili au la pitia hapa

Mi ndo naona inazunguka hadi najihisi nazunguka na mimi kizungu zungu chake... ila mbona nati zote kichwani zipo sawa!!!???
Hahahaha! Zipo sawa lƙn zimelegea mƙuu
 
Sasa kwa maelezo ya mtoa post wewe inatakiwa ufungwe kamba [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Basi mimi naona humu hakuna mzima maana mimi naona inazunguka kama Ile mikono ya kipindi cha kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…