Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Ukitaka kujua kuwa mpenzi wako ana sifa ya kuitwa mke/mume,fanya yafuatayo; Kama ulikuwa na wapenzi wengi mfano watano (5),chukua pesa kidogo labda 250,000,na kila mmoja mpatie 50,000 akaifanyie matumizi anayotaka.Baada ya hapo kila mmoja akupe mrejesho kwa ile fedha ameifanyia nini. Ikiwa watakupa mrejesho kama ufuatao....chukua hizi hatua:-
- Ametumia fedha yote kujiremba/matumizi yake binafsi.......piga chini
- Amesaidia ndugu zake/marafiki zake................piga chini
- Ametoa sadaka au kawapa watu wenye uhitaji................jaribu kumfikiria tena
- Ametumia kwenye pombe na fedha kuisha.............piga chini
- Ametumia kwenye mahitaji yake kiasi na nyingine akatumia kwenye mahitaji yako. mfano labda akakuletea shati,suruali n.k..................huyo weka ndani/oa (hana ubinafsi yuko tayari muwe mwili mmoja).