Sitaki kuwachosha ila kuna maamuzi yalufanywa na watu wanaoongoza mpira ambao elimu zao ya chinibni degree.
1. Kwamba mchezaji wa nje atakayesajiliwa na timu zetu,awe anacheza timu ya taifa ya nchi husika!!
Maana yake hatutakuwa na wachezaji kutoka Senegal,Ivory Coast,DR Congo,South Africa n.k ama tukiwataka,twende tukavunje mikataba yao ulaya.
Kwamba Libase,Oura,Nzengeli, Pakome ni wachezaji wasio na kiwango kwa vile hawachezi timu za mataifa yao?!
Kwamba Loemba ni bora sana kuliko hao kwa vile yeye ameitwa kwenye national team?!
Wasomi wanaofikiri hovyo kama zilivyo elimu zetu za hovyo.
2. Unaleta FVS halafu unaweka masharti ya hovyo kwamba kocha ana nafasi mbili tu za kulalamikia maamuzi ambayo hata hivyo hadi mwamuzi ayakubali,akiyakataa umepoteza nafasi!
Unamzuiaje mwamuzi kama Arajiga kuibeba timu yake?
Mwamuzi ambaye anapata fursa ya kuangalia VFS anaona mchezaji kanyanyua meno ya kiatu usoni kwa mchezaji mwingine halafu anakataa sio faulo kwa sababu ameupiga mpira?!! na anaachwa aendelee na ujinga wake!
Unalipiaje gharama kubwa mfumo usio na faida iliyokusudiwa?
Hivi ukiwa na degree za hapa kwetu mbona kama ujinga ndio unaongezeka sana na uwezo wa kutatua matatizo unapungua na kinachoongezeka ni utaalam wa kuiba na kufanya ufisadi tu?