ukitaka kujua mchepuko wako unakuchuliaje

ukitaka kujua mchepuko wako unakuchuliaje

mair erasto

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2016
Posts
413
Reaction score
425
angalia jina lako alilo lisave kwenye simu yake.
jana nilikua naangalia majina ya simu ya dada mmoja niliyakutana na majina ya ajabu sana.
na akaniambia yeye huwa anaandika jina la mtu kutokana alivyo na akili yake.

haya ndio baadhi ya majina niliyo yakuta

1 boss
2 mavi
3 wa msimu
4 maskini
5 muhuni
6 hazimo zote
 
Back
Top Bottom