Wazee wanakufa kwa sababu ya mademu wanaume wameoa lakini bado wana mademu kibaoKama ni demu sawa! Ila nilikuja fasta nikajua tunataka kuzungumzia Mke!
Kila la kheri na mademu wako Mkuu.
Sawa mkuu.Wazee wanakufa kwa sababu ya mademu wanaume wameoa lakini bado wana mademu kibao
Kwa hiyo mademu ni dili kwa mwanaume yeyote yule bila kujali umri wake
KwendraaaaaaSi ni kusalimiana na mashemeji tu
Ni muhimu kuwa na namba za mashemejiUwe karibu na marafiki zake uchukuwe no mwisho wake unajua kinachotokea?