Ukitaka kujua msichana wa chuo hakutaki tena haya ndiyo majibu yao

Ukitaka kujua msichana wa chuo hakutaki tena haya ndiyo majibu yao

Mkuu pole sana, yaelekea yamekukuta maswaibu ya kutosha kwenye anga hizo. Thanks for your experience.
 
Halafu options zote ni za mtindo wa panya "kula na kupulizia" ukishtuka umepona!
 
Hata wale unaodhani wana hofu ya Mungu nao wamekua mbwa walivaa ngozi ya kondoo, duh! inatisha wadau.
 
Mi nadhani si wote, na tabia ya mtu ni hulka yake. Wapo wa dada chuo wanajiheshimu sana na hawana tabia km hizo. Sikatai kuwa wapo wa hvyo but not ALL.
 
1. Baby tutaongea baadae naingia lecture
2.Jamani honey sikuweza kupokea simu nilikuwa kwenye kelele
3.Sweetie sina credit nikashindwa kukujibu
4.Tupo discussion jamani ntakupigia bdae
5.Simu haikuwa na chaji jamani (HAPO AMEKUZIMIA SIMU)
6.Nipo na kaka jamani usipige simu
7. Nina presentation kesho hny hatuwezi kuonana
8. Roommate wangu ana mgeni USIJE leo
9. Nipo library dia ntakutafuta baadaye(kwa sauti ya chini)
SHTUKA MAPEMA HUNA CHAKO PALE, KAMA UNA KWINGINE JIONGEZE USISUBIRI AKWAMBIE KUWA HAKUTAKI!!!!!!!!!

Acha mambo yako we jamaa, kupigwa kwako kibuti kusi'genalize madem zetu!
 
hapa ni mwendo wa ushabiki km ccm na chadema sasa.
 
1. Baby tutaongea baadae naingia lecture
2.Jamani honey sikuweza kupokea simu nilikuwa kwenye kelele
3.Sweetie sina credit nikashindwa kukujibu
4.Tupo discussion jamani ntakupigia bdae
5.Simu haikuwa na chaji jamani (HAPO AMEKUZIMIA SIMU)
6.Nipo na kaka jamani usipige simu
7. Nina presentation kesho hny hatuwezi kuonana
8. Roommate wangu ana mgeni USIJE leo
9. Nipo library dia ntakutafuta baadaye(kwa sauti ya chini)
SHTUKA MAPEMA HUNA CHAKO PALE, KAMA UNA KWINGINE JIONGEZE USISUBIRI AKWAMBIE KUWA HAKUTAKI!!!!!!!!!
Aisee
 
Back
Top Bottom