Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kwani CCM imeanza kusafirisha watu wao Leo?Iwe ni moja kwa moja ama kwa mafumbo, utagundua kuwa ingawa CCM imo kwenye uchaguzi inashindana na vyama vingine, lakini wana CCM wenyewe wanajua msindani wao ni CHADEMA.
Fuatilia hotuba zao na jitihada wanazofanya ionekane mgombea wao anapendwa kwa kusomba watu na kupeleka kwenye mikutano yao, utaona CHADEMA kumbe Ina nguvu kuliko CCM.
Fikiria chama kilichozuiwa kabisa kufanya siasa huku Mwenyekiti wake akiwa Gerezani, lakini CCM bado wanajilinganisha nacho.
Jee uwanja wa kufanya siasa ungekuwa sawa bila ya mauzauza ya Tume ya uchaguzi na matumizi ya hovyo ya vyombo vya dola, hali ingekuwaje?
CCM imekuwa dhaifu sana huku CHADEMA ikiwa imara zaidi kuliko tulikotoka kisiasa.
Kwani CCM imeanza kusafirisha watu wao Leo?
Huwa inasomba watu siyo kusafirisha... Na hao ni wale wa vijijini wasiojua tofauti kati ya chama cha siasa na Serikali au wanaotishwa na watendaji vijijini kuwa wasipohudhuria watatozwa faini.Kwani CCM imeanza kusafirisha watu wao Leo?
Mgombea wa ccm asingepata zaidi ya 25% ya kura.Jee uwanja wa kufanya siasa ungekuwa sawa bila ya mauzauza ya Tume ya uchaguzi na matumizi ya hovyo ya vyombo vya dola, hali ingekuwaje?
Nani imewakata?Imewakata
Ni aibu sana kutumia Treni bila kulipa na kujisaidia ovyo kwenye MabehewaKwani CCM imeanza kusafirisha watu wao Leo?
Walipakiza walugaluga kwenye treni... πππNi aibu sana kutumia Treni bila kulipa na kujisaidia ovyo kwenye Mabehewa
Na wanajaza mabehewa kwenda Morogoro kujaza uwanja....hahahaFikiria chama kilichozuiwa kabisa kufanya siasa huku Mwenyekiti wake akiwa Gerezani, lakini CCM bado wanajilinganisha nacho.
Hehehe. Kule mvimero wamejaza wanasai.....sijui wamewatoa MsomekeraWalipakiza walugaluga kwenye treni... πππ
Imewakata
Kwani chadema imeanza leo?Kwani CCM imeanza kusafirisha watu wao Leo?
Chadomo imekufa na 2030 napo mnakaziwa tena ππKwani chadema imeanza leo?
Mbona yeye alifukuza waliokosoa fikra sahihi za Mwalimu?
Fresh tu kama sio leo basi kesho. Uzuri tunazaa na kufariki.Chadomo imekufa na 2030 napo mnakaziwa tena ππ