SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Hapo siyo yeye bali ni K Vant ndiyo ilikuwa inazungumzaEti mgombea anasema chadema wametia mpira kwapani bila hata aibuView attachment 3460051
Hapo siyo yeye bali ni K Vant ndiyo ilikuwa inazungumzaEti mgombea anasema chadema wametia mpira kwapani bila hata aibuView attachment 3460051
K-vant 😄 🤣Hapo siyo yeye bali ni K Vant ndiyo ilikuwa inazungumza
Niiishiiidaaa tena kwerikweriIwe ni moja kwa moja ama kwa mafumbo, utagundua kuwa ingawa CCM imo kwenye uchaguzi inashindana na vyama vingine, lakini wana CCM wenyewe wanajua msindani wao halisi ni CHADEMA.
Fuatilia hotuba zao na jitihada wanazofanya ionekane mgombea wao anapendwa kwa kusomba watu na kupeleka kwenye mikutano yao, utaona CHADEMA kumbe Ina nguvu kuliko CCM.
Fikiria chama kilichozuiwa kabisa kufanya siasa huku Mwenyekiti wake akiwa Gerezani, lakini CCM bado wanajilinganisha nacho.
Jee uwanja wa kufanya siasa ungekuwa sawa bila ya mauzauza ya Tume ya uchaguzi na matumizi ya hovyo ya vyombo vya dola, hali ingekuwaje?
CCM imekuwa dhaifu sana huku CHADEMA ikiwa imara zaidi kuliko tulikotoka kisiasa.
TRC hasafirishi bureNi aibu sana kutumia Treni bila kulipa na kujisaidia ovyo kwenye Mabehewa
Mbona yeye alifukuza waliokosoa fikra sahihi za Mwalimu?
TRC hasafirishi bure
Acheni uzushi
2030 napo mtakaziwa 🤣🤣
Hebu weka picha tuone!Walipakiza walugaluga kwenye treni... 😃😄😆
WAfanye nn mkuu hata kampeni zao wanaongea ungese mtupu. Mgombea ana sema siku za kwanza 100 akishinda atafanya hivi na vile. Ja yupo madarakaniIwe ni moja kwa moja ama kwa mafumbo, utagundua kuwa ingawa CCM imo kwenye uchaguzi inashindana na vyama vingine, lakini wana CCM wenyewe wanajua msindani wao halisi ni CHADEMA.
Fuatilia hotuba zao na jitihada wanazofanya ionekane mgombea wao anapendwa kwa kusomba watu na kupeleka kwenye mikutano yao, utaona CHADEMA kumbe Ina nguvu kuliko CCM.
Fikiria chama kilichozuiwa kabisa kufanya siasa huku Mwenyekiti wake akiwa Gerezani, lakini CCM bado wanajilinganisha nacho.
Jee uwanja wa kufanya siasa ungekuwa sawa bila ya mauzauza ya Tume ya uchaguzi na matumizi ya hovyo ya vyombo vya dola, hali ingekuwaje?
CCM imekuwa dhaifu sana huku CHADEMA ikiwa imara zaidi kuliko tulikotoka kisiasa.
CAG akija kusema shirika halijiendeshi kwa faida tusishangaeNi aibu sana kutumia Treni bila kulipa na kujisaidia ovyo kwenye Mabehewa
Kabisa... Ila hawatataja kuwa walisomba watu Bure.CAG akija kusema shirika halijiendeshi kwa faida tusishangae